| ← Psalms (131/150) → |
| 1. | Bwana, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu. |
| 2. | Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu. |
| 3. | Ee Israeli, umtarajie Bwana, Tangu leo na hata milele. |
| ← Psalms (131/150) → |