Psalms (117/150)  

1. Haleluya. Enyi mataifa yote, msifuni Bwana, Enyi watu wote, mhimidini.
2. Maana fadhili zake kwetu sisi ni kuu, Na uaminifu wa Bwana ni wa milele.

  Psalms (117/150)